Buy/Sell

IPH: Tunauza Kiwanja, Mtumba, Dodoma.

Mobile Number: +255 (0) 763 321 074; Mtumba, Dodoma

TZS 100 million

move icon
1,500 m²
  • Square:1,500 m²
  • Property Type:Plot

Tunauza Kiwanja kilichopo pembezoni mwa Barabara ya Lami ya Dodoma- Morogoro.

Kiwanja kina Ukubwa wa SQM 1500, kipo Mtumba Mji wa Serikali na kina documents zote za umiliki.

Kiwanja kipo kwenye eneo lililofikiwa na miundombinu yote muhimu ikiwa ni pamoja na maji, umeme, na mawasiliano.

Kwa Maelezo Zaidi, wasiliana nasi kwa simu namba +255 (0) 763 321 074.

  • Plot ID

Mobile Number: +255 (0) 763 321 074; Mtumba, Dodoma

Want to Become a Real Estate Agent ?

We'll help you to build your profile.
Sign Up Today
Your experience on this site will be improved by allowing cookies Cookie Policy