Buy/Sell

Eddie Real Estate

Mobile: 0759 800 265; Kisesa (Kidatu Center), Magu District, Mwanza.,

Test Bussiness

  1. Karibuni Wateja wetu mnunue Viwanja katika Mwadi wetu Mkubwa na wakipekee Wenye Jumla ya Viwanja Mia Moja (100). Mradi Huu upo Kisesa (Kidatu Center), Wilayani Magu Mkoani Mwanza.

  2. Mradi Upo Umbali wa Takriban Kilometa Moja (1) Kutoka Barabara ya Lami ya Mwanza - Shinyanga na Upo Karibu na Huduma  Muhimu za  Kijamii ikiwemo Umeme.

  3. Mradi Upo Kwenye Eneo Tambarale na Viwanja Vyetu Vina Ukubwa wa Mita za Mraba 440 (20m x 22m). Kwa Wateja wanaotaka eneo Kubwa Zaidi, Wanaweza Kuunganisha Viwanja Kwani Mradi Wetu ni Mpya Kabisa.

  4. Bei ya Kiwanja Kimoja ni TZS 1,200,000 na Wateja Hamsini wa Mwanzo Watapata Punguzo la Hadi 15%. Wahi Sasa Upate Punguzo Hili na Uchague Kiwanja Ukipendacho. Tunaomba Atakaye Liona Tangazo Hili Amtaarifu na Mwenzake Mapema Kabla Viwanja Havijaisha.

Mobile: 0759 800 265; Kisesa (Kidatu Center), Magu District, Mwanza.,

Hospital

1 KM

School

0.5 M

Bus Stop

1.1 KM

Want to Become a Real Estate Agent ?

We'll help you to build your profile.
Sign Up Today