Buy/Sell

Eddie Real Estate

Mobile: 0759 800 265; Kisesa (Changabe), Magu District, Mwanza.,

TZS 1.2 mamilioni

move icon
440 m²
  • Mraba:440 m²
  • Aina ya Mali:Land
  1. Karibuni Wateja wetu mnunue Viwanja katika Mwadi wetu Mkubwa na wakipekee Wenye Jumla ya viwanja Mia Moja (100). Mradi Huu upo Kisesa, Wilayani Magu Mkoani Mwanza.

 

  1. Mradi wetu Upo Umbali wa Takriban Kilometa Moja (1) Kutoka Barabara ya Lami ya Mwanza - Shinyanga na upo Karibu na huduma za kijamii ikiwemo Umeme.

 

  1. Mradi upo katika eneo Tambarale na viwanja vyetu vina Ukubwa wa Mita za Mraba 440 (20m x 22m). Kwa wale wanaotaka eneo kubwa zaidi, wanaweza kuunganisha viwanja kwani mradi wetu ni mpya kabisa.

 

  1. Bei ya Kiwanja Kimoja ni TZS 1,200,000 na wateja Hamsini wa Mwanzo watapata punguzo la hadi 15%. Wahi Sasa Upate Punguzo Hili. Tunaomba atakaye liona Tangazo Hili amjulishe na Mwenzake.

Mobile: 0759 800 265; Kisesa (Changabe), Magu District, Mwanza.,

Hospital

1 KM

School

0.5 M

Bus Stop

1.1 KM

Je! Unataka Kuwa Wakala wa Mali isiyohamishika?

Tutakusaidia kuunda wasifu wako.
Jisajili Leo
Your experience on this site will be improved by allowing cookies. Cookie Policy