Buy/Sell

Intercity Property Hub: Tunauza Shamba Lenye Miparachichi 600.

Mobile Number: 0788 260058, Nazareth, Njombe

Test Bussiness

  1. Tunauza Shamba Bora Lenye Jumla ya Heka 10.5 na Miundombinu Muhimu kama Maji ya Uhakika na Nyumba ya Shambani. Barabara ya Kutoka Njombe Mjini hadi Shamba Inapitika Mwaka Mzima hata Wakati wa  Masika/Kifuku.

  2. Kati ya Heka 10.5 zilizo Flat, Heka Nane (8) Zina Jumla ya Miparachichi 600 (Miti 80 kwa Heka) na Mi-Apple 20 Yenye Umri wa Miaka Miwili, Iliyotunzwa Kitaalam na Imeshaanza Kutoa Maua.

  3. Zaidi Ya Parachichi, Unaweza Pia Kulima Mazao Mbalimbali na Kuweka Mifugo Kama Kuku, Ngombe, n.k.

  4. Shamba Lipo Umbali wa Takriban Kilometer 25 Kutoka Njombe Mjini na Umbali toka Shamba hadi Center ya Kijiji cha Idunda ni Takriban Kilometer Tatu (3) na Kijiji kina Huduma zote Muhimu Kama Shule, Zahanati, n.k.

  5. Kwa Maelezo Zaidi, Wasiliana nasi kwa Simu namba 0788 260058.

Mobile Number: 0788 260058, Nazareth, Njombe

Hospital

3 KM

School

3 KM

Bus Stop

1 KM

Bank

25 KM

Airport

26

Want to Become a Real Estate Agent ?

We'll help you to build your profile.
Sign Up Today