Buy/Sell

Intercity Property Hub

Mobile Number: 0719 766 153 AU 0788 260058, Nazareth, Njombe

Test Bussiness

  1. Tunauza Shamba Bora Lenye Jumla ya Heka 10.5 na Miundombinu muhimu kama Maji ya Uhakika na Nyumba. Barabara ya Kutoka Njombe Mjini inapitika Muda wote wa Mwaka.

  2. Heka Nane (8) Kati ya 10.5, Zina Jumla ya Miparachichi 600 (Miche 80 kwa Heka) na Mi-Apple 20 Yenye Umri wa Miaka Miwili, Iliyotunzwa Kitaalam na Imeshaanza Kutoa Maua.

  3. Zaidi Ya Parachichi, Unaweza Pia kulima Mahindi na Mazao mengine.

  4. Shamba lipo takribani umbali wa Kilometer 25 toka Njombe Mjini na Umbali toka Shamba hadi Center ya Kijiji cha Idunda ni Takriban Kilometer Tatu (3) na Kijiji kina huduma zote muhimu kama Shule, Zahanati, n.k.

  5. Kwa Maelezo Zaidi, Wasiliana na 0719 766 153 AU 0788 260058.

 

 

 

 

  • Mashamba

Mobile Number: 0719 766 153 AU 0788 260058, Nazareth, Njombe

Hospital

3 KM

School

3 KM

Bus Stop

1 KM

Bank

25 KM

Airport

26

Je! Unataka Kuwa Wakala wa Mali isiyohamishika?

Tutakusaidia kuunda wasifu wako.
Jisajili Leo