Buy/Sell

Intercity Property Hub: A 33-Acre Avocado Farm For Sale.

Mobile Number : 0788 260058 au 0714 790 485, Matiganjola, Lupembe, Njombe

Test Bussiness

  1. Tunauza Shamba Bora la Parachichi Lenye Jumla ya Heka 33.82 na lenye Miundombinu Muhimu ya Umwagiliaji. Barabara ya Kutoka Njombe Mjini hadi Shamba Inapitika Mwaka Mzima hata Wakati wa  Masika/Kifuku.

  2. Ndani ya hizo heka 33.82 kuna zaidi ya Miti 2000 ya Miparachichi ya Miaka Mitatu (3) na Miezi Nane na imeshaanza Kuzaa.

  3. Zaidi Ya Parachichi, Unaweza Pia Kulima Mazao Mbalimbali na Kuweka Mifugo Kama Kuku, Ngombe, n.k.

  4. Shamba Lipo Lupembe, mji ambao una huduma zote muhimu za kijamii kama Shule, Zahanati, n.k.

  5. Tazama Video hapo chini au kwenye YouTube Channel Yetu.

  6. Kwa Maelezo Zaidi, Wasiliana nasi kwa Simu namba 0788 260058 au 0714 790 485.

  • Farms
  • District

Mobile Number : 0788 260058 au 0714 790 485, Matiganjola, Lupembe, Njombe

Want to Become a Real Estate Agent ?

We'll help you to build your profile.
Sign Up Today