Buy/Sell
Intercity Property Hub: A 33-Acre Avocado Farm For Sale.
Mobile Number : 0788 260058 au 0714 790 485, Matiganjola, Lupembe, NjombeTest Bussiness
Tunauza Shamba Bora la Parachichi Lenye Jumla ya Heka 33 na Miundombinu Muhimu kama Maji ya Uhakika na Nyumba ya Shambani. Barabara ya Kutoka Njombe Mjini hadi Shamba Inapitika Mwaka Mzima hata Wakati wa Masika/Kifuku.
Ndani ya hizo heka 33 kuna zaidi ya Miti 2000 ya Miparachichi ya Miaka Mitatu (3) ambayo imeshaanza Kuzaa.
Zaidi Ya Parachichi, Unaweza Pia Kulima Mazao Mbalimbali na Kuweka Mifugo Kama Kuku, Ngombe, n.k.
Shamba Lipo eneo la Lupembe, mji ambao una huduma zote muhimu za za kijamii kama Shule, Zahanati, n.k.
Kwa Maelezo Zaidi, Wasiliana nasi kwa Simu namba 0788 260058 au 0714 790 485.
- Mashamba
- District
Mobile Number : 0788 260058 au 0714 790 485, Matiganjola, Lupembe, Njombe