Buy/Sell

Eddie Real Estate

Mobile: 0759 800 265; Kishiri, Mwanza Region.,

Test Bussiness

  1. Karibuni Sana Wateja Wetu Mnunue Viwanja Vyetu Vilivyopo Eneo la Kishiri Jijini Mwanza. 

  2. Katika Eneo Hili la Kimkakati Tuna Jumla ya Viwanja Vitatu Kama Ifuatavyo:-

    i) Mita za Mraba 873 (20m x 43.63m) = 18,000,000

    ii) Mita za Mraba 739 (20m x 38m) = 16,000,000

    iii) Mita za Mraba 719 (20m x 37m) = 16,000,000

  3. Viwanja vyote Vitatu Vimepimwa na Tutakupatia Hati ya Umiliki bila Malipo ya Ziada. Vilevile, Viwanja Hivi Vipo Umbali wa Takriban Mita Mia Moja (100m = Urefu wa Kiwanja cha Mpira) Kutoka ilipo Stand ya Haice ya Kishiri.

  4. Viwanja Vyote vimezungukwa na Miundombinu na Huduma zote Muhimu za kijamii ikiwemo Maji, Umeme, Huduma za Mawasiliano, Barabara za Uhakika Pamoja Shule na Hospitali.

  5.  Tunaomba Atakaye Liona Tangazo Hili Amtaarifu na Mwenzake Mapema Kabla Viwanja Havijaisha.

Mobile: 0759 800 265; Kishiri, Mwanza Region.,

Super Market

200 M

School

300 M

Pharmacy

50 M

Hospital

80 M

Je! Unataka Kuwa Wakala wa Mali isiyohamishika?

Tutakusaidia kuunda wasifu wako.
Jisajili Leo