Buy/Sell
Eneo lenye Majengo ya Kituo cha Afya linauzwa, Longido
Madukani, +255 (0) 763 321 074, LongidoTZS 170 mamilioni
- Mraba:2,715 m²
- Aina ya Mali:Plot
Eneo hili linauzwa Lina majengo yaliyofikia hatua ya kupaua. Project iliyopo ni kituo Cha afya Cha binafsi. Ina maeneo ya Reception, Waiting Area, OPD, Vyumba vya Madaktari 9, Jengo la Mama na Mtoto, na Jengo la Kulaza wagonjwa lenye uwezo wa Kulaza wagonjwa kumi na mbili Kwa mara Moja.
Anayehitaji anakaribishwa kuja kulikagua na kuzungumza Biashara.
- Plot ID
Madukani, +255 (0) 763 321 074, Longido
School
400m
Bus Stop
30m
Pharmacy
100m