Buy/Sell

IPH: Tunauza Shamba Karibu na Barabara ya Lami, Njombe.

Mobile Number: 0788 260058 or 0714 790 485; Nazareth, Njombe

Test Bussiness

  1. Tunauza Shamba Bora lenye ukubwa wa takriban heka 10 na linalofaa kwa kilimo cha Parachichi. Kati ya heka 10, heka 7 zinafaa kwa kilimo na heka 3 zinafaa kwa mifugo.

  2. Shamba hili ni  tambalale na unaweza kulima kwa trekta na kufanya kilimo cha umwagiliaji kwani lina chanzo cha uhakika cha maji mwaka mzima.

  3. Shamba lipo umbali wa takriban kilometa 18 kutoka Njombe Mjini na lipo kilometa 1.5 kutoka barabara ya Lami ya Songea - Njombe.

  4.  Barabara ya Kutoka Shamba lilipo (Kijiji cha Yakobi) hadi Njombe Mjini Inapitika Mwaka Mzima hata wakati wa  Masika/Kifuku.

  5. Zaidi Ya Parachichi, Unaweza Pia Kulima Mazao mengine na Kuweka Mifugo Kama Kuku, Ngombe, n.k.

  6. Kwa Maelezo Zaidi, Wasiliana nasi kwa Simu namba 0788 260058 au 0714 790 485.

Mobile Number: 0788 260058 or 0714 790 485; Nazareth, Njombe

Super Market

18 KM

Bus Stop

15 KM

Pharmacy

16 KM

Airport

16 KM

Hospital

17 KM

Je! Unataka Kuwa Wakala wa Mali isiyohamishika?

Tutakusaidia kuunda wasifu wako.
Jisajili Leo